Wizara ya mambo ya ndani ya nchi uhamiaji,usalama na usalama wa wadau wanafanya tathimini ya mpaka kati ya mkoa Ohangwena na Angola
Kusudi nikutambua maeneo yaziada ya kuingia
Hii ilitokana na kuongezeka kwa harakati kati ya hizo nchi mbili
Chrispin Kabwi, Naibu Mkurugenzi wa udhibiti mpaka wa uhamiaji katika mikoa ya Oshara, Oshikoto na Ohangwena,
Mnamo siku ya jumanne alisema kituo cha mpakacha Oshikango, ambacho kinatumika kama kituo rasmi cha kuingia Angola, kimekuwa mbali sana kwa wasafiri
Kituo cha mpaka cha Oshikango kiko takribani kilometa 300 kutoka Okongo,
Hii inasababisha watu kuvuka na kufanya biashara kinyume cha sheria
Kwa sasatunashirikishawanajamii na viongozi wa kimila tulianza tarehe 12julai huko Oshikombe, Okongo na tutakamilisha julai 19 kwenye Beacon 16 " Alisema Kamwi"
0 Comments