Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Bruno Fernandes na Saudi Arabia







Manchester United inamruhusu Bruno Fernandes kuanzisha mazungumzo ya kuchezea Saudi Arabia, Kevin de Bruyne wa Manchester City anakubali kuhama Al-Ittihad, huku Arsenal wakikubali mkataba wa Riccardo Calafiori.

Manchester United imempa kiungo Bruno Fernandes, 29, ruhusa ya kuanza mazungumzo na Saudi Arabia, huku klabu mbili za Ligi ya Saudia zikimtaka mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno. (TeamTalk)

Kiungo wa kati wa Manchester City Kevin de Bruyne, 33, "amekubali kwa maneno" kujiunga na klabu ya Saudi Arabia Al-Ittihad , na sasa ni juu ya mabingwa hao wa Premier League kuidhinisha kuondoka kwa Mbelgiji huyo. (TeamTalk)

Post a Comment

0 Comments