Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na na Viongozi mbalimbali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla nchini Hispania. Tarehe 30 Juni 2025.
Jumatatu, 30 Juni 2025
Home »
Top Stories
» MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UFADHILI WA MAENDELEO NCHINI HISPANIA
0 comments:
Chapisha Maoni