Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Chelsea kwenye mazungumzo na Borussia Dortmund kumnunua mshambuliaji Karim Adeyemi


Chelsea wako kwenye mazungumzo na Borussia Dortmund kuhusu kumnunua mshambuliaji wa Ujerumani Karim Adeyemi, 22. (Bild – in Deutsch)

West Ham wanavutiwa na mshambuliaji wa Aston Villa na Colombia Jhon Duran, 20. (Sky Sports),

Manchester United wamekubaliana kwa maneno na beki wa Bayern Munich Mholanzi Matthijs de Ligt mwenye umri wa miaka 24. (Evening manchester News),

Klabu ya Juventus ya Serie A bado ina nia ya kumsajili winga wa Manchester United Muingereza Jadon Sancho, 24. (Sky Sports),



Post a Comment

0 Comments