Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Kikosi cha kulinda amani Haiti chaahidi kuleta utulivu

 Mkuu wa kikosi cha jeshi la polisi la Kenya, linaloongoza kikosi cha kimataifa cha kupambana na magenge ya uhalifu nchini Haiti,amesema hakuna nafasi ya kushindwa katika juhudi hizo za kuleta utulivu nchini humo


Kamanda huyo wa kikosi cha askari wa Kenya,Godfrey Otunge amesema  Ujumbe huo unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa uko tayari kuhakikisha zinafanyika katika taifa hilo la Carribean.
 
"Tunakazi tuliyojitolea kuifanya.Na kwahivyo tunapswa kuifanya kwa viwango vya ubora kadri ya uwezo wetu na kuleta mafanikio. Kazi yetu ni kuhakikisha tunarudisha amani kote nchini Haiti.''

Post a Comment

0 Comments