Mabehewa matano Kati ya 20 yaliyokuwa yamebeba shehena ya ngano yakisafiri na Treni ya Mizigo ya Reli ya Kati kutokkea Dar es salaam kwenda mikoa ya bara yameanguka maeneo ya Bingwa kwa Masista mjini Morogoro.
Hata hivyo hakuna madhara yeyote ya kibinadamu yaliyojitokeza.
0 Comments