Klabu Bora namba 5 kwa Ubora Afrika, Simba SC imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kulia Kelvin Kijili kutoka Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili. . Kijili mwenye umri wa miaka 24 ni kijana mwenye kipaji na kasi amekuwa akitumika kuanzisha mashambulizi kutokea upande wa kulia.
Tags
Sports