Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha 15 cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili 2025.
Friday, April 4, 2025
Home »
Top Stories
» MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SJMT NA SMZ YA KUSHUGHULIA MASUALA YA MUUNGANO
0 comments:
Post a Comment