JSON Variables

Header Ads Widget

Responsive Advertisement
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Afya Tips. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Afya Tips. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 21 Mei 2025

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAHADHARI YA MAGONJWA YA MFUMO WA NJIA YA HEWA NA MAGONJWA YANAYOENEZWA NA MBU

 


TAREHE 20 MEI, 2025 

Wizara ya Afya imeendelea kufanya ufuatiliaji wa karibu na kutoa taarifa za kila siku kuhusu magonjwa ya mlipuko pamoja na tetesi za uwepo wa magonjwa hayo nchini. Katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Aprili 2025, tumeshuhudia ongezeko la tetesi zinazohusiana na magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa katika jamii hapa nchini, hasa katika mkoa wa Dar es Salaam.


 Kwa kutumia mifumo ya ufuatiliaji wa magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa, ambayo imekuwepo tangu mwaka 2008, tumekuwa tukifuatilia mwenendo wa magonjwa haya ili kubaini aina za vimelea vinavyosababisha maambukizi, ongezeko la visa, pamoja na uwezekano wa kujitokeza kwa kirusi kipya chenye uwezo wa kusambaa kwa haraka. Vipimo vya maabara vimebaini kuongezeka na kupungua kwa virusi vya influenza hali ambayo imekuwa ikionekana pia katika miaka iliyopita na ndiyo maana hujulikana kama ‘Seasonal influenza”. Aidha vipimo hivyo vimeonesha kuwa hakuna kirusi kipya kinachoweza kusambaa kwa haraka na kusababisha mlipuko wa aina ya Pandemiki.


 Ugonjwa wa UVIKO-19, ambao ulitangazwa kwa mara ya kwanza hapa nchini mwezi Machi 2020, umeendelea kuwepo kwa kiwango cha chini kama yalivyo magonjwa mengine ya mfumo wa njia ya hewa. Tangu Februari hadi Aprili 2025, ufuatiliaji wa virusi hivi umeonesha ongezeko la visa vya UVIKO-19 kutoka asilimia 1.4 (wagonjwa 2 kati ya watu 139 waliopimwa) mwezi Februari hadi asilimia 16.3 (wagonjwa 31 kati ya 190 waliopimwa) mwezi Machi, na kisha asilimia 16.8 (wagonjwa 31 kati ya watu 185 waliopimwa) mwezi Aprili 2025. Hali ya kuongezeka na kupungua kwa ugonjwa huu imekuwepo kila mwaka tangu kutangazwa kwa ugonjwa huu mwaka 2020. Kwa kipindi hiki ongezeko hili linaonekana zaidi katika mkoa wa Dar es Salaam. 


Wizara ya Afya inaendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa nchini na kutoa taarifa. Kupitia vituo vyake vya kutolea huduma, Wizara imeelekeza wataalam kuhakikisha wanaendelea kufanya utambuzi wamagonjwa haya kwa kutumia vipimo vya maabara na kutoa matibabu stahiki kwa wagonjwa wote wanaobainika kuwa na maambukizi.


Aidha, natoa rai kwa wananchi wote kuzingatia kanuni za afya ili kujikinga na kuwalinda wengine dhidi ya maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa ikiwa ni pamoja na:

 • Kufunika pua na mdomo wakati wa kukohoa au kupiga chafya, pamoja na kuvaa barakoa pale inapohitajika; 

• Kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni au kutumia vipukusi mara kwa mara;

 • Kudumisha usafi wa mwili binafsi na wa mazingira yanayotuzunguka.

 Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi, hususan katika mikoa ya pwani mwa Tanzania, kumekuwa na ongezeko la hatari ya kuenea kwa magonjwa yanayoenezwa na mbu, kama vile Homa ya Dengue, Malaria, na magonjwa mengine ya aina hiyo. Ili kujikinga na madhara yatokanayo na magonjwa haya, nawasihi wananchi wote kuchukua tahadhari kwa kuzingatia yafuatayo:

 1. Kuangamiza mazalia ya mbu – kuondoa maji yaliyotuama karibu na makazi, ikiwemo madimbwi, ndoo, chupa, matairi ya zamani, na vifaa vingine vinavyoweza kuhifadhi maji;

 2. Kutumia vyandarua vyenye dawa;

 3. Kupulizia viuatilifu (sprays) ndani ya nyumba mara kwa mara ili kuua mbu waliopo ndani;

 4. Kuvaa nguo ndefu zinazofunika mwili hasa wakati wa jioni na alfajiri;

 5. Kufunga madirisha na milango au kutumia wavu ili kuzuia mbu kuingia ndani ya nyumba.

 Magonjwa haya yanayosababishwa na virusi yana dalili zinazoshabihiana hivyo ni vigumu kuyabaini bila kupata vipimo vya maabara. Hivyo, nawasihi kuwahi katika vituo vya kutolea huduma mara mnapopata dalili zozote za homa, maumivu ya kichwa, macho, misuli, viungo, au vipele mwilini au dalili za magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa kama vile kikohozi, mafua, kuwashwa koo au kupumua kwa shida ili kupata vipimo na matibabu stahiki. 

Serikali kupitia Wizara ya Afya ina uwezo, utaalamu, na mifumo madhubuti ya kufuatilia, kutambua, na kudhibiti magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa pamoja na magonjwa mengine ya mlipuko. Tutaendelea kutoa taarifa sahihi kwa wakati kwa lengo la kuwalinda na kuhakikisha usalama wa afya za Watanzania wote.

 Mwisho, nawasihi tuendelee kushirikiana kwa karibu, tufuate maelekezo ya wataalam wa afya, na tuendelee kuilinda jamii yetu dhidi ya magonjwa yanayoambukiza.

Imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace E. Magembe

Jumapili, 1 Desemba 2024

HALI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI LINDI YAONGEZEKA KUTOKA 0.3% HADI 2.6%




 
Hali ya maabukizi ya virusi ya ugonjwa WA UKIMWI Mkoa wa Lindi imeongezeka kutoka 0.3% mwaka 2016-2017 na kufikia asilimia 2.6% mwaka 2022-2023 Hali iliyosababishwa na shughuli za kiuchumi

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Bi.victoria Mwanziva akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi akizungumza wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika huko Katika kijiji cha Nahukahuka halmashauri ya Mtama amewasihi wananchi Mkoani Humo kuendelea kuchukua tafadhari juu ya ugonjwa huo

Mwanziva Amesema Hali hiyo imesababishwa na shughuli nyingi za kiuchumi zilizoongezeka na muingiliano mkubwa wa watu unaosababishwa na ongezeko la maeneo hatarishi ya maambukizi ya VVU mfano maeneo ya machimbo ya madini
Aidha,  amezitaka halmashauri zotena wadau wa afya  kuongeza vitendanishi na dawa za ARV katika vituo vya kutolea hudima za afya  ili wananchi wapate fursa ya kupima afya zao na  kuweza kufahamu hali zao kwa lengo la kuchukua hatua zinazofaa kulingana na hali zao na kupata dawa bila usumbufu

"Napenda kutoa rai kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Lindi, Wadau wa maendeleo pamoja na Bohari ya kanda Kusini ya dawa mhakikishe vitendanishi na dawa za ARV zipo za kutosha katika kila kituo cha kutolea huduma katika Mkoa wetu. 

Pia, nahamasisha watu wote watakaogundulika na maambukizi ya VVU kuanza dawa mara moja ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza kiafya kwa kukosa au kuchelewa kuanza dawa mapema.

Jumapili, 11 Agosti 2024

Siri ya kuongeza nguvu za kiume


Hii Ndiyo Siri Wanayoitumia Wanaume Wengi Kuongeza Nguvu za Kiume Kwa Haraka...
Je umewahi kusoma Kitabu changu Cha BAO 3 BILA BReak ambacho Kinaelezea(Siri Za Kuongeza Mashine na Kuchelewa Kufika Kileleni Ndani ya Dakika 90).
.
Lengo la Kuandika kitabu hiki ni kuwapa Elimu Wanaume Wanaohangaika Kuondokana na Tatizo la Kuwahi Kumaliza Wakati wa Tendo la ndoa..
.
Kuwa na Uwezo mdogo Na Wamejaribu Kutumia dawa Mbalimbali Kutatua Tatizo hili Lakini Bado tatizo liko Pale pale,
Ndani ya dakika mbili,tatu na hawezi kurudia Tena Kwa Wakati...
.
Kwa bahati mbaya wanaume wengi Hawajui kuwa tatizo hili halitibiki bila kufahamu chanzo chake.
.Unatakiwa KUJIFUNZA Elimu ya Maumbile ya Mwanamke na Mwanaume na kufahamu formula za Kisaikorojia katika taalum ya Sexology...
Sasa ili Kuweza kuyafahamu hayo yote pamoja na mengine mengi Kwa Undani nimekuandalilia kitabu hiki maalumu Kwa ajili ya AfYa Yako Mwanaume...
.
Ndani Ya kitabu hiki utaenda kuona/Kuiba Siri muhimu ambazo haujawahi kujifunzo sehemu Yoyote...
.
Siri namba 1.Utajifunza
Makosa (5)Yanayofanywa na wanaume wengi katika Tendo la ndoa na haya makosa utajifunza kwenye (Ukr 5-8).
.
Siri Namba 2.
Utajifunza Hatua (4)za kufika kileleni Kwa mwanaume na zinapatikana (UK 11-12)..
.
Siri namba 3.
JE unajua Nini hutokea mwanaume anapowahi Kumaliza Bila kujizuia (UK 13) Una MAJIBU ya swali hii...
.
Siri namba 4.
JE unajua Sababu za kuwahi Kumaliza Tendo la ndoa mapema Kwa mwanaume.?Sababu zake zipo (UK 15).
.
Siri namba 5.
Siri 10 zitakazokusaidia uchelewe Kumaliza tendo la ndoa hata zaidi saa nzima kitandani (20-27) Utazikuta...
.
Siri namba 6.
Staili /Mikao 10 itakayokusaidia kudumu muda mrefu katika tendo la ndoa (UK 29-38)..
.
Siri namba 7.
Madhara ya Video za Utupu (XXX)kuwahi Kumaliza Tendo la ndoa.(UK 39).
.
Siri namba 8.
Ushenzi Unaofundiahwa katika Video za Utupu (UK 40)..
Madhara yatokanayo na kuangalia Video za Utupu (UK 42)...
Siri namba 9.
Program 10 za kuacha Punyeto na kuangalia XXX Kwa Urahisi ndani ya siku 21 (UK46-60)...
.
Siri namba 10.
Namna ya kutibu Madhara yaliyosababishwa na Punyeto ukiwa Nyumbani kwako (UK 62)...
.
Siri namba 11.
Namna ya kutibu tatizo la Kushindwa kurudia Tendo la ndoa (UK 64).
.
Siri namba 12..
Namna ya kutibu tatizo la utoaji wa Mbegu Nyepesi,chache Kuna njia kuu mbili rahisi zinapatikana katika (UK 65-66)..
.
Siri namba 13.
Namna ya kuimarisha Misuli ya Uume legelege (UK 67)..
.
Siri namba 14.
Mazoezi manne(4) ya misuli ya uume usikojoe haraka wakati wa sex (UK 69-70)..
.
Siri namba 15.
Hatua 4 za Mwanamke kufika kileleni (UK 72-79)..
Kama unahitaji kuzifahamu hizi Siri zote na namna ambavyo zitaenda kusaidia kutatua tatizo lako ni rahisi Sana...
By the way nilitamani nikuambie kitabu hiki ulipie tshs 50K maana ndiyo thamani yake halisi...
.
Ila Bado nitakuwa sijakusaidia Bado nikafikiria au nikuambie ulipie tshs 25K kama nusu bei ya kitabu hiki pendwa ambazo Hadi Sasa hivi kimeisha saidia wanaume 500...
.
Pia nitakuwa sijasaidia kubwa la watu wanaohitaji hiki kitabu ila mwisho nimekumbuka Leo ni siku maalumu.
.Siku yangu kuzaliwa ndiyo nimeona nikupatie huu Ujuzi ili ikusaidie Kwa bei Punguzo...
Hivyo nimeona watu 10 TU nitawapatia kitabu hiki Kwa Bei Punguzo la Bei kubwa kuliko....
Thamani ya kitabu hiki ni tshs 50K ila Kwa Sababu Lengo ni kusaidia jamii ukilipia tshs 50K nitakuwa sijakusaidia..
Hivyo basi Sasa Wewe Utalipia tshs 9,999/= Punguzo hili la Bei linahusu watu 30,wa mwanzo ila Sasa tayari nafasi 10 Zimeishachukuliwa,kwahiyo wahi nafasi 10 zilizobakia ili kupata kitabu chako.
.Tuma Neno Kitabu Kwenda Whatsaap namba +255782639869,Sasa hivi ili nikupatie utaratibu wa kulipia...
PS Kitabu hiki ni soft Copy Mfumo PDF kwahiyo ukilipia ninakutumia kwenye Whatsaap Yako hapo ndani ya sek3.
.
Hakuna Cha kupoteza kama ukipoteza utatumiwa Bure,Pia natakupatia nafasi special ya kuunga kwenye magroup yangu mengine.

Jumanne, 6 Agosti 2024

VIDEO: Dada zangu Makahaba Wamerejea Nyumbani


Jina langu ni Zephania Nanga kutoka Kigoma nchiniTanzania, katika ukoo wetu kuna kitu ambacho kilikuwa kina mtokea kila mtu, mwanzo nilikuwa nahisi ni bahati mbaya lakini nikaja kubaini kuwa ukoo wetu umevamiwa na mikosi ya kutisha.

Kilichonishangaza kulikuwa hakuna mtoto ndani ya ukoo alikuwa anafaulu sehemu yoyote katika masomo yake, wote walikuwa wakifika darasa la saba wanafeli na kurudi nyumbani kuchunga mifugo.

Kibaya zaidi hata walipokuwa vijana wakubwa wengi waliishia kwenye matumizi ya dawa za kulevya, wizi na ukahaba, hadi ukoo wetu ukawa umechaka kwa kusemwa vibaya na kuonekana una watu wa hovyo sana.

Kingine ni kwamba hata wale ambao tulionekana kuwa afadhili kila ambavyo tulikuwa tunajitahidi kujikwamua kutoka kwenye umaskini hali ilikuwa mbaya zaidi.

Biashara zetu zilikuwa vinavunjwa na kuibiwa, hali hiyo ilitufanya kufilisika maana tulikuwa tumechukua mikopo ya biashara na kushindwa kufanya marejesho.

Tulipambana sana kuweka mambo sawa lakini tulifikia hatua hadi kuuza mashamba kwa ajili ya kulipa madeni ambayo yalikuwa ya hovyo.

Wakati mwingine ndugu zetu wengine walikamatwa na mali za wizi, hivyo tunaambiwa tulipe halafu tunakuwa hatuna fedha, hivyo tunauza shamba.

Wakati mwingine ndugu yetu wengine anamchoma mtu kisu, anakamatwa na Polisi kwenda kumtoa na mambo ya kesi kwa ujumla fedha inazidi kutumika nyingi.

Ilifikia hatua nikataka kuhama familia yangu lakini nikaona mimi pekee yangu ndiye mwenye akili ambaye nikifanya juhudi na maarifa naweza kuubadili upepo.

Niliamua kutafuta dawa kutoka wa Dr Malilwe baada ya kusikia anasifiwa na watu wengi kuwa ana uwezo wa kuondoa mikosi katika jamii na ukoo.

Katika mazungumzo yetu aliniuliza maswali mengi kuhusu ukoo wangu, nami nilikuwa muwazi kwake na kumueleza jinsi ambavyo tumekuwa tukiteswa na mikosi ya ajabu ajabu.

Mwishowe aliniambia nisiwe na wasi wasi kwani atashughulikia jambo langu na ndani ya siku tatu nitaanza kuona mabadiliko.

Nakumbuka baada ya siku mbili dada zangu waliokuwa wanafanya ukahaba mjini walirejea nyumbani na kusema wameamua kuja kutulia wafanye mambo ya maana, taratibu na wale waliokuwa wanatumia dawa za kulevya waliacha.

Kikubwa zaidi ni kwamba watoto walianza kufaulu kwenda sekondani hadi chuo jambo ambalo halikuwahi kutokea hapo awali.

Naweza kusema hadi sasa hakuna tena madeni ambayo yalipelekea kuuza mashamba yetu mengi na mikosi imeisha na sasa kila mtu anautamani ukoo wetu kwa jinsi ambavyo mambo yetu wanaenda sawa. Unaweza kuwasiliana na Dr Malilwe kwa namba +255787813369 au +255766335266 ili akutatulie shida iliyopo katika maisha yako.


Jumanne, 30 Julai 2024

Kwa nini afya ya utumbo ni muhimu na unawezaje kuiboresha?

 


Utafiti unaonyesha afya ya utumbo inaweza kuhusishwa na kila kitu kutoka viwango vya mafutamafuta mwilini hadi msongo wa mawazo.

Na kadri ufahamu wetu kuhusu jukumu la kiungo hiki muhimu unavyoongezeka, ndivyo pia hamu ya afya nzuri ya utumbo unavyoimarika.

Soko la kimataifa la probiotics lilifikia karibu dola za Marekani bilioni 60 kwa mwaka katika 2021, na linatarajiwa kukua kwa zaidi ya asilimia saba kila mwaka hadi 2030, kulingana na data kutoka kwa Utafiti wa Polaris Market.

Lakini kwa nini afya ya utumbo ni muhimu na tunawezaje kuuimarisha?

Afya ya utumbo ni nini?

Si rahisi kutambua utumbo wenye afya kutokana na muundo wake ukilinganisha na viungo vingine, na hakuna chombo kimoja ambacho kinaweza kutumika kupima afya ya utumbo.

Utumbo wetu umejaa vijidudu. Kulingana na wataalamu vijidudu hivyo vikiwekwa pamoja, vinaweza kuwa na uzito zaidi ya kilo 1.8.

Kuna bakteria bilioni 100 katika kila gramu ya yaliyomo kwenye matumbo.

Utumbo wenye afya huelekea kuwa na jamii tofauti zaidi ya vijidudu, anasema Dk Katerina Johnson, ambaye anatafiti uhusiano kati ya utumbo na ubongo katika Chuo Kikuu cha Oxford.

Lakini, sayansi ya microbiome bado inaendelea kukua, anaongeza, akimaanisha kuwa hatujui kwa undani jinsi utumbo wenye afya unavyoonekana.

Kwa nini ni muhimu kuwa na utumbo wenye afya?

Mchoro wa urumbo

Chanzo cha picha,Getty Images

Utumbo unaweza kuathiri “karibu kila kiungo mwilini”, anasema Dk Johnson.

Ubongo na utumbo vina mfumo dhabiti wa mawasiliano unaojulikana kama mhimili wa utumbo na ubongo.

Viungo hivi vinategemeana na kila moja ni muhimu kwa nyingine - tafiti zimegundua kuwa ukuaji wa ubongo unaweza kuathika microbiome ya matumbo ikikosekana.

Utumbo wakati mwingine huitwa ubongo wa pili kwa sababu bakteria wanaweza kuathiri mienendo yetu kupitia Neurons milioni 100 kwenye utumbo.

Neurons ni seli zinazopatikana katika ubongo wetu na mfumo mkuu wa neva ambao huelekeza mwili wetu jinsi ya kuishi.

Utumbo wa nje unaweza hata kudhibiti hali yetu kwa kutoa vipitishio vya mawasiliano vinavyopatikana kwenye ubongo, kama vile serotonin.

kielelezo cha ubongo na utumbo unavyohusiana

Chanzo cha picha,Getty Images

Jukumu linalojulikana zaidi la utumbo ni kufyonza virutubisho kutoka kwa chakula.

"Hatuwezi kuwa tunapoteza maji na madini kwenye kinyesi," anaelezea Dk Venkatraman Krishna, daktari wa magonjwa ya tumbo nchini India.

Dk Megan Rossi, anayejulikana pia kama Daktari wa Afya wa Utumbo nchini Uingereza, anasema kukosekana kwa vijidudu vya utumbo sasa kumehusishwa na zaidi ya hali 70 tofauti za kiafya - kutoka magonjwa ya moyo, mishipa ya kupumua hadi magonjwa ya kinga ya mwili kama ugonjwa wa arheumatoid arthritis.

Takribani 70% ya seli zetu za kinga huishi kwenye sehemu ya utumbo, na "huwasiliana ya mara kwa mara" na mfumo wa kinga, anasema Dk Rossi.

Hii ndiyo sababu "watu walio na afya bora ya utumbo wanaonekana kuwa na mifumo ya kinga inayostahimili magonjwa zaidi", anaongeza.

Unawezaje kuimarisha afya ya utumbo?

Kufuatia utafiti uliofanywa na Mradi wa American Gut 2018, wataalamu walianza kuwashauri watu kula walau aina 30 ya lishe inayotokana na mimia kila wiki ili kukuza bakteria wanopatikana kwenye utumbo.

Hii sio tu ni pamoja na matunda na mboga, lakini pia vitu kama mbegu, viungo na karanga.

picha ya matunda na mboga

Chanzo cha picha,Getty Images

Dk Rossi anashauri watu kuongeza matunda katika lishe ili kuimarisha afya ya utumbo.

Lishe yenye nyuzinyuzi nyingi hutusaidia kujisikia kamili, husaidia usagaji chakula na kuzuia kuvimbiwa, kulingana na Huduma ya Kitaifa ya Afya ya Uingereza, ambayo inapendekeza watu wazima kula gramu 30 ya nyuzi kwa siku.

Kuchagua mikate ya unga au punje badala ya nyeupe, na kuchagua wali wa kahawia au pasta ya ngano, kunaweza kuongeza ulaji wako wa nyuzi.

 picha ya vyanzo vyema vya nyuzinyuzi kama vile mikate ya unga na pasta ya ngano

Chanzo cha picha,Getty Images

Chanzo kingine cha nyuzinyuzi ni pamoja na viazi ambavyoo havijamenywa (kama vile viazi vilivyookwa) na kunde kama maharagwe, dengu au mbaazi, ambazo zinaweza kuongezwa kwenye kitoweo, kari na saladi.

Vyakula vya prebiotic (aina fulani za nyuzi na wanga) vimepatikana ili kuhimiza ukuaji wa bakteria rafiki kwenye utumbo.

Baadhi ya vyakula hivyo ni ndizi, vitunguu, kabichi, nafaka, na zabibu.

Dk Hanisha Khemani, mtaalam wa magonjwa ya tumbo nchini Pakistan, anasema kuanzisha "mlo uliosawazishwa, na wenye virutubisho" katika miaka yetu ya 20 ni "muhimu kwa afya ya muda mrefu".

Ni vyakula gani mbaya kwa utumbo

Matumizi ya vyakula vilivyochakatwa sana, pombe na tumbaku si mazuri kwa utumbo wako, aeleza Dk Krishna.

Chakula kilichochakatwa sana kina viambato ambavyo ama hukandamiza bakteria 'nzuri' au kuongeza bakteria 'mbaya'.

photo off ultra processed corn puffs

Chanzo cha picha,Getty Images

Kwa kuzingatia mahali ulipo ulimwenguni, huenda ukalazimika kuacha kununua vyakula kutoka kwa wachuuzi wa mitaani wasiozingatia usafi hasa wa kuosha matunda na mboga ili kujikinga dhidi ya virusi au bakteria hatari, Dk Krishna anaongeza.

Anasisitiza uchafua matumbo yetu, na inaweza kuongeza asidi na vidonda vya tumbo.

Dkt Johnson anasema watu walio na mfadhaiko zaidi huwa na vijidudu vidogo vya aina mbalimbali.

 picha za vyakula vyenye afya kwa utumbo ikijumuisha matunda, mboga mboga na vyanzo vya nyuzinyuzi

Chanzo cha picha,Getty Images


Listen Mkisi Radio