DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA PROGRAMU KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI (AFDP)

*****

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu na watendaji kuhusu masuala ya Programu ya kuendeleza Kilimo na Uvivu (AFDP)

Kikao hicho kimefanyika tarehe 06 Machi, 2025 katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Magogoni, Jijini Dar es salaam.








mussa khalidi

I am ,Journalist, Presenter Radio & TV, Producer, Video editor, Graphics Designer, Layout Newspaper designer,Contact: +255 659 669 902 Email: mussakhalid70@yahoo.com or muxabhai200@gmail.com

Post a Comment

Previous Post Next Post