Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika mdahalo wa Mawaziri Wakuu kuhusu namna Sekta ya Umma inavyoweza kushirikiana sekta binafsi ili kuchochea maendeleo, mjadala huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Sofitel Mei 12, 2025 jijini Abidjan, Ivory Coast. Mawaziri Wakuu walioshiriki mjadala huo ni Waziri Mkuu wa Cameroon, Joseph Dion Ngute,Waziri Mkuu wa Ivory Coast Robert Beugré Mambé pamoja na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Guinea Amadou Oury Bah
Tuesday, May 13, 2025
Home »
Top Stories.
» WAZIRI MKUU ASHIRIKI MDAHALO WA MAWAZIRI WAKUU KWENYE JUKWAA LA MAAFISA WATENDAJI WAKUU
0 comments:
Post a Comment