MBUNGE PONDEZA AMWAGA MAMILIONI UWT
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza amechangia shilingi milioni tano kwa Umoja wa Wananake UWT CCM Wilaya ya Amani kichama na Milioni tano kwa Wilaya ya Mjini Kichama ili kusaidia kuendeleza miradi ya jumuiya hiyo hali itakayoondosha hali ya utegemezi.
Mbali na fedha hizo Pondeza pia amekabidhi vyarahani vinne vinne kwa wilaya hizo vitakavyochochea uzalishaji wa bidhaa zitakazoongeza uchumi wa jumuiya hiyo ndani ya Wilaya hizo.
🗓️ 24 May 2025
📍 Kisonge Mnarani
0 comments:
Chapisha Maoni